HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 23, 2010

TTCL YATOA ZAWADI YA SIKUKUU KWA WATOTO YATIMA

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL Bw. Said Amir akimkabidhi mtoto wa kituo cha watoto yatima cha Mbagala Trast Group Faudhia Mohamed jumla wa msada wa vyakula pamoja na mbuzi vilitolewa na kampuni hiyo kwenye vituo vya watato yatima vyenye thamani ya milioni 5.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL BW. Said Amir akimkabidhi Bw. Omary Ally wa kituo cha kulelea watoto yatima Kibaha mkoa wa Pwani
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL BW. Said Amir akikabidhi msaada kwa ajili ya sikukuu za xmax na mwaka mpya
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL BW. Said Amir akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima na walezi baada ya kuwakabidhi msaada kwa ajili ya sikukuu za xmax na mwaka mpya. Mbuzi wakigawiwa kwa vituo vya yatima

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad