HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 16, 2010

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara atembelea migodi ya Makaa ya Mawe ya Liganga Mchuchuma

Haya sio mawe, ni chuma cha Liganga kikiwa juu kabisa ardhi. Eneo la takriban km za mraba 140 zimetapaa madini haya kuanzia chini ardhini hadi juu katika uso wa ardhi. Kuendelezwa kwa mradi huu kunatajwa kuwa suluhisho la hujma dhidi ya miundo mbinu yetu kunakofanywa na wahalifu ili kupata chuma chakavu.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Lazaro Nyalandu, akiweka saini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya Ya Ludewa,Bi. Hilda Lauwo ( Aliyesimama). Nyuma ya Naibu Waziri ni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe
Naibu Waziri wa viwanda na Biashara,Mh. Lazaro Nyalandu akiwa ameshika kipande cha mkaa wa mawe, mara baada ya kutembelea maeneo ya Katewaka na Mchuchuma Wilayani Ludewa.
Naibu Waziri wa viwanda na Biashara, Mh. Lazaro Nyalandu, akipata maelezo ya awali kutoka kwa Mbunge wa Ludewa, Mh. Deogratius Filikunjombe ( kushoto) na Msimamizi wa Mradi wa Liganga/Mchuchuma, Bw. Lawrence Manyama.(Kulia)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad