HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 15, 2010

giraffe unique model yandua kwambi kwa staili ya kipekee

Washiriki wa shindano la Giraffe Unique Model 2010 wakiwa pamoja na mratibu wao, Bw.Methuselah Magese (katikati) wakati hafla fupi ya uzinduzi wa kambi yao iliyofanyika jana katika hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es salaam.Shindano hilo linatazamiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu katika hoteli hiyo ya Giraffe.
Mratibu wa shindano la Giraffe Unique Model 2010,Methuselah Magese akimlisha kipande cha keki mmoja wa washiriki wa shindano hilo katika hafla iliyofanyika jana katika hoteli ya Giraffe Ocean View,kunduchi jijini Dar.
Mie pia nilitunukiwa kipande cha kekizz na mmoja wa washiriki wa findano hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad