
wakielekea kutega nyavu zao,tayari kwa kusaka vitoweo

wakiweka sawa mambo ili kunasa samaki.

yaonekana mambo yalikuwa magumu katika eneo hilo na kuamua kulisitisha zoezi hilo na kuondoka kabisa.hapa ni mbele kidogo ya ufukwe hoteli ya Sea Cliff,wikiendi hii.
No comments:
Post a Comment