HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 15, 2010

hivi ndivyo hali ilivyokuwa mara baada ya kupiga kamvua kadogo jijini dar

huu mtaa upo Maeneo ya Kiwalani,Bom Bom ila jina lake limenitoka sasa hivi hapa.nikikumbuka nitalitaja hapa.yaani hali ni tete kabisa mvua ikinyesha katika eneo hili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad