
Umoja wa watanzania Ujerumani ukiwa katika picha ya pamoja na Mhe Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani,Mh. Ahmada Ngemera. Kushoto ni Mhe Mwenyekiti wa Umoja huo. Na kulia Ni Mhe Katibu wa Umoja huo.

Viongozi wa muda wa umoja wa watanzania Ujerumani. kushoto Mhe Katibu wa Umoja Bi Tulalumba Mloge wa pili kushoto Mhe Mwenyekiti wa Umoja Bw Mfundo Peter Mfundo, katikati Mhe Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mh. Ahmada Ngemera, Anayefuata ni Mhe Makamo M/Kiti Mhe Xavier Komba Na mwisho kulia Ni Muweka Hazina Bi Nashe Mvungi Picha ilipigwa mara baada ya kuchaguliwa
No comments:
Post a Comment