Mdau Innocent Melleck akipewa mkono wa pongezi mara baada ya kulamba nondozz yake katika mahafali ya 10 ya chuo cha uandishi wa habari cha Royal.
Mdau Innocent akiwa makini kusikilisa lisala iliyokuwa ikisomwa katika mahafali hayo.
Mdau Innocent akisoma lisala mbele ya mgeni rasmi.
Baadhi ya wahitimu katika chuo cha Royal wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Mkuu wa chuo hicho.
No comments:
Post a Comment