HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 27, 2010

send off ya Mariam Baby ilikuwa ni mpango mzimaaaa

Bi. Harusi mtarajiwa,Da' Mariam Baby (shoto) akiwa na mpambe wake wakati wa sendoff ya kumiaga iliyofanyika katika ukumbi wa msasani club.
Mzee wa Mtaa kwa Mtaa akiwa na Dada zake,shoto ni Bi. Harusi mtarajiwa Mariam Baby na kulia ni Mariam.
Bw. Harusi Mtarajiwa (kati) akisabahiana na Ankal wa Bi. Harusi pindi walipokuwa wanaagana.
Da' Mariam Baby akiwa na Marton wake wakielekea kumsaka Bw. Harusi mtarajiwa mahali alipokaa.
Kekizz ikikatwa.
Mdau Kim Kimenya akiwa na Mzee wa Mitaani ("wa Mitaani leo kaunyuka mjumba wa maana kweli,sijui kauazima wapi??")
"...... alajii alajii alajii...... eeehh gudundu gudundu......... eenn alajii alajii......" mzee usintanie katika sekta hii maana huwa siongopagi.
Kamati nzima iliyofanikisha mnuso wa sendoff hii,kwa mbaaali kushoto utamuona Ankal Issa Michuzi a.k.a Mzee wa Libeneke.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad