
Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House,Khadija Mwanamboka akizungumza katika hafla ya kusherehekea miaka mitatu ya Tanzania Mitindo House,iliyofanyika leo katika viwanja vya TMH, Kigamboni.

"hii kamera sijui imekuwaje???" Dada Shamim Mwasha akikomaa kuweka kifaa chake sawa.

Mwadada Fidelin Iranga a.k.a BLACK GAGA akikamua na kifaa chake katika halfa ya Tanzania Mitindo House iliyonyika leo Kigamboni.

Watoto wakibembea kwa raha zao.

Dada Grace Josephat wa Allure Internation akiwa na mshiriki wa BBS 2010.

Mwanamitindo Jamilah Swai akilisakata kabumbu katika hafla ya kutimiza miaka mitatu ya TMH iliyofanyika leo Kigamboni,jijini dar

Wadau wa Allure Internation,Erick na Gilbert wakiuza nyago katika hafla ya TMH leo.

Wadau toka sehemu mbali mbali wakifuatilia shoo iliyoonyeshwa na watoto toka katika kituo cha New Life.

Watoto wakiangalia shoo ya watoto wenzao wa kituo cha New Life.

Watoto wanaolelewa na kituo cha Tanzania Mitindo House,wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa utambulisho kwa watoto wenzao.

Wadau wa Double Tree wakiwa na baandi ya watoto waliofika leo katika hafla ya kutimiza miaka mitatu ya Tanzania Mitindo House iliyofanyika leo huko Kigamboni.

Watoto wanaolelewa katika kituo cha Tanzania Mitindo House pamoja na wale walioalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na Walezi wakuu wa Tanzania Mitindo House inayoongozwa na Mwanamitindo Khadija Mwanamboka.Hafla hii imefanikishwa kwa udhamini mkubwa wa Double Tree Hilton Hotel,Tripod Media,Jambo Africa Child Hope na KCI .huku watoto walioalikwa wakiwa ni wale waliotoka katika vituo vya New Life na SOS.
No comments:
Post a Comment