Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wazee wa mkoa wa Dodoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Dodoma leo Nov 10, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kufanya mkoani hapa tangu apate wadhifa huo. Kiongozi huyo atakuwa mkoani hapa kuhudhuria mikutano ya CCM katika ngazi za Kamati Kuu na Halmshauri Kuu na kisha sherehe za kuapishwa wabunge sambamba na uteuzi wa Waziri Mkuu.
jee unajua wale waliotoka nje kutazama uchaguzi wamesema uchaguzi halali haukufanyika TZ mdau usa
ReplyDelete