Salam,
Baada ya makamuzi ya kufa mtu kituo kinacho fuata Ni The Club Croydon tarehe 12.11.10 ambapo Diamond pamoja na Mish The fyah sis watafanya kweli wakiongozwa na Legendary Dancehall Master DJ Chris Gold finger kwa ajili ya kuchangia war on malaria.
wote Mnakaribishwa
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA
urbanpulsecreative@googlemail.com
No comments:
Post a Comment