Tafadhali naomba chapisha kwenye blogu/tovuti yako nafasi hii njema kwa ajili ya wenye ulamavu kuweza kupata msaada toka ABILIS kwa ajili ya miradi yao.
Tanzania ni mojawapo ya nchi sita tu zilizotengwa maalum kwa ajili ya kunufaika na 'funds' hizi. Linki yenye maelezo ni :
Asante!
Subi
No comments:
Post a Comment