
Tunaelewa kwamba wakati mwingine unakosa nafasi ya kuwa karibu na computer yako kusiliza kipindi cha Kombolela Show na vipindi vingine vinaletwa kwenu "live" na Radio Mbao (www.radiombao.com), lakini kuanzia sasa, Radio Mbao itakuwa inakuletea vipindi vilivyorekodiwa ili usikose uhondo.
Tuanze basi na kipindi cha Kombolela Show, kilichorushwa hewani Oktoba 23, 2010. Mgeni wetu alikuwa Rajesh Rajani. Pata uhondo hapa chini:
Shukrani,
Utawala,
Radio Mbao
Radio Mbao
1+614-604-7498
No comments:
Post a Comment