HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 28, 2010

washauputia mfuniko wa hapa..!!

juzi juzi tu nimepita hapa na kukuta pako poa,lakini leo mambo ndio kama hivi tena.wenye matumizi mazuri na mifuniko ya chemba washaupitia.hapa ni nje tu ya jengo la Posta lile linalotizamana na ofisi za wirara ya mambo ya ndani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad