
maana kila siku linazidi kujazwa majani tu huku muonekano wa shimo hilo ukiwa vile vile.sasa sijui wanamaana gani kuchimba na kuliacha namna hii??

hebu vuta picha siku umetoka katika mishe mishe zako na kujikuta ukizama ndani ya shimo hili bila kutegemea.shimo hili wala haliko mbali,bali ni pale kituo cha daladala cha mpuyuni kama ukitokea posta kuelekea mwenge,jijini Dar.
No comments:
Post a Comment