HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 24, 2010

dogo akikokotoa hesabu kwa kalkuleta

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa leo ilikuwa ikizurulia mitaa ya Mwananyamana na ilibahatika kumnasa dogo huyu akiwa amekula miwani ya faza wake huku akionekana kushikiria kalkuleta kuweka sawa mahesabu aliyopewa na ticha wake shuleni.wataalam wa hesabu mnalionaje hili??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad