Siku moja nilipokuwa safarini kutokea jijini Arusha,hapa ni muonekano wa kilele cha mlima Kilimanjaro nyakati za asubuni na mapema.hapa mie (shoto) nikiwa na mdau Gisler.mie na Gisler tukiuza nyago kitaani.
Theruji yote kwisha kabisa, ilikuwa poa sana wakati ule ukiuona na theruji yake.
ReplyDelete