HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 9, 2010

libeneke jimpya la "HAKI MTOTO"


Uncle Othman naomba msaada wako kunitangazia mtandao wangu huo kwa wadau

Hello all, 
Habari, shikamooni wakubwa zangu,nawakaribisha katika mtandao wangu (Blog) ambao unatoa habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa kila siku pamoja na 'breaking news' habari hususani za watoto na haki zao zinapewa kipaumbele.

Tembelea/Visit: WWW.NIMKALAMECK.BLOGSPOT.COM' maalufu kama 'HAKIMTOTO' Asanteni sana a sasa..

PIA UNAKARIBISHWA KUTUMA TAARIFA NA PICHA ZA MATUKIO YOTE!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad