HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 10, 2010

dr. bilal aendelea na kampeni mkoani moro

Mgombea Mwenza wa Urais kupiotia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge a Jimbo la Morogoro mjini, Abdulaziz abood, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Shujaa mjini Morogoro.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Morogoro Mjini wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa mjini Morogoro leo ,ambapo pia alimnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo, Abdulaziz Abood.
Wanachama wa CCM Mkoa wa morogoro, wakiwa na mabango yenye picha za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood na mgombea Urais wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa mjini Morogoro leo Picha na Muhidin Sufiani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad