HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 26, 2010

ziara ya mama salma kikwete mkoani lindi

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya wanawake WAMA Mama Salma Kikwete katika ziara yake ya uhamasishaji wanachama wa UWT Mkoa wa Lindi kujitokeza kwa wingi kupiga kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani oktoba 31 mwaka huu nchini Hapa likuwa akimnadi Mgombea ubunge Lindi mjini kupitia CCM Bw. Mohamed Abdulaziz
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea Ubunge jimo la Mchinga Lindi vijjini Sulemani Mtanda
Mzuka unapopanda! mwachama wa UWT Lindi mjini akifurahia hotuba ya Mama Salma Kiwete wakati wa mkutano Lindi mjini
Umeyaona mambo ya vuvuzela! mwenye macho haambiwi tazama. hadi Lindi vijijini yapo pia.
Wanachama Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Lindi mjini wakimsikiliza Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia.Picha na Mwanakombo Jumaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad