HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 14, 2010

Wadau Ndani Ya Flava Nite

mkali wa skratch kwa Afrika Mashariki na Kati,Dj Bon Luv (shoto) akiwa na wadau waliofika katika kiwanja chake cha maraha cha Mzalendo pub,jumamosi ya wiki iliyopita.Dj Bon Luv na timu yake huwa wanapiga madude ya ukweli pale Mzalendo pub,Millenium tower kila siku ya jumamosi ya usiku wa radha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad