
Askari wa usalama barabarani akiwa amemkida suruali dereva wa daladala lifanyalo safari zake katika tabata segerea - mnazi mmoja mara baada ya kutenda kosa barabarani.hii imetokea mchana katika kituo cha daladala cha karume jijini dar na hapa alikuwa akimpeleka katika kituo cha Polisi kilichopo maeneo hayo.
No comments:
Post a Comment