Leo nilibahatika kupata Ftar ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan pale Sinza,City Fast Food ambapo nilikuwa na mdau mkubwa wa blog hii,Daudi (David) Matete.kweli ftar ya mwisho huwa ni tamu sana maana unaisikilizia kama nini vile.
No comments:
Post a Comment