HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 5, 2010

Swali La Kizushi Kuhusu Maboga

hivi maboga ni matunda au ni chakula???maana mimi kila siku nashindwaga kufafanua hili.

3 comments:

  1. Boga ni chakula na Tunda ni chakula.TUNASUBILI SWALI

    ReplyDelete
  2. Usemapo tunda unamaanisha nini? Tunafahamu kuwa mimea hutoa matunda. Na matunda haya kutoka katika mimea huliwa na binadamu(yaani chakula) ila kumbuka kwamba si matunda yote yatokanayo na mimea huliwa(yapo ni sumu).
    Napenda kuhutimiza kwa kusema kwamba Matunda ni chakula na boga liko ndani ya kundi la matunda. Kama nakuchanganya jiulize kwanza tunda ni nini?

    ReplyDelete
  3. Usemapo tunda unamaanisha nini? Tunafahamu kuwa mimea hutoa matunda. Na matunda haya kutoka katika mimea huliwa na binadamu(yaani chakula) ila kumbuka kwamba si matunda yote yatokanayo na mimea huliwa(yapo ni sumu).
    Napenda kuhutimiza kwa kusema kwamba Matunda ni chakula na boga liko ndani ya kundi la matunda. Kama nakuchanganya jiulize kwanza tunda ni nini?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad