HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 5, 2010

Mkutano wa Chadema Mkoani Manyara

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeoe (CHADEMA), Mh. Dk. Willblod Slaa anamtambulisha mgombea ubunge wa Hanang,Bi. Rose Kamili, katika eneo la Endosak wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho katika mikoa mbali mbali hapa nchini

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad