huyu si mwingine bali ni super Model,Jamillah (Myleh) Nyangasa akiwa katika kiti chake cha kuzunguka kama alivyokutwa na kamera ya mtaa kwa mtaa pindi ilipokumuibukia ghafla bin vuu mzigoni kwake pale maeneo ya nanihii.
Haya supa modoooooooooo!
ReplyDelete