kuuliza si ujinga: hivi hii seemu ambayo hizi gari zimepaki,ni kwaajili ya bustabi za barabarani.... au ni kwaajili ya uegeshaji wa magari kama kamera ya mtaa kwa mtaa ilivyozikuta gari hizi pale LImumba??
Watanzania hatuna uwezo wa kuthamini kitu kizuri. Bustani ? mhhh....ona mnazi mmoja au sehemu nyingi tu ziliogeuzwa kutoka bustani hadi mambo matumizi mengine. Na pia usimamizi hakuna. Askari wa jiji hawafanyi kazi yao waliokusudiwa labda hawajuwi majukumu yao hawajaelimishwa vya kutosha..... Kama mfano mdogo huu basi hili ni janga la taifa. Hakuna kitu kizuri kinachodumu, barabara mpya itahujumiw baada ya muda mfupi, madaraja yanafunguliwa ma bolti, reli zina n'golewa, hivi kwanini? hatuna ustarabu, ay ndio umaskini?
nDUGU HUU NI WAKATI WA UCHAGUZI, KILA MTU CHINI YA JUU YA SHERIA KAKA
ReplyDeleteNaongelea "parking" ya lumumba.
ReplyDeleteWatanzania hatuna uwezo wa kuthamini kitu kizuri. Bustani ? mhhh....ona mnazi mmoja au sehemu nyingi tu ziliogeuzwa kutoka bustani hadi mambo matumizi mengine. Na pia usimamizi hakuna. Askari wa jiji hawafanyi kazi yao waliokusudiwa labda hawajuwi majukumu yao hawajaelimishwa vya kutosha.....
Kama mfano mdogo huu basi hili ni janga la taifa. Hakuna kitu kizuri kinachodumu, barabara mpya itahujumiw baada ya muda mfupi, madaraja yanafunguliwa ma bolti, reli zina n'golewa, hivi kwanini? hatuna ustarabu, ay ndio umaskini?