
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru akimkabidhi Torino Edward Pechaga mkazi wa Dodoma na mtumishi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) funguo za gari aina ya Hyumdai i10 alilojishindia katika promosheni ya Shinda Mkoko inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, zaidi ya magari 100 yanashindaniwa katika Promosheni hiyo na tayari washindi 30 wameshapatikana,(katikati)Mtaalamu wa mambo ya bidhaa na mahusiano ya wateja Yvonne Maruma.
No comments:
Post a Comment