HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 24, 2010

Mkuchika awahutubia wakazi wa Newala

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, (MNEC) Kingunge Ngombare Mwiru akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Newala mkoani Mtwara kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) , George Mkuchika (jukwaani kulia) wakati wa mkutano wa kampeni za Chama hicho wilayani humo. Mgombea Ubunge jimbo la Newala mkoani Mtwara kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) , George Mkuchika akihutubia katika mkutano wake wa kampeni katika Kata ya Mkunya Wilayani Newala akijinadi na kuomba kura kwa wananchi ili wamchague katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 2010.

1 comment:

  1. huyu ngombale-mwiru si yule alikuwa anajisi wake za watu pale dodoma alipokuwa mkuu wa mkoa, malalamiko yalipelekwa mpaka kwa nyerere lakini nyerere hakumfukuza kazi jamaa, ngombale kama unasoma haya maoni yangu unamkumbuka mke wa abdallah mironjo pale barabara ya nane dodoma!!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad