
Mao Rwangisa akikabidhiwa rasmi mtoto Sophia Nkurlu na mchungaji

maharusi wakitoka kanisani mara baada ya kufugwa kwa ndoa yaoo.

Wapambe nao walipendezaaaaaaa

Bi Harusi Sophia Nkurlu akisindikizwa na Mpambe wake Sonia kuingia kwenye gari kuelekea kanisan

Bi harusi akipelekwa kukabidhiwa rasmi kwa bwana Harusi Mao Rwangisa na kaka yake mkubwa Ephraim Nkurlu.

Bi. Harusi akiwa ndani ya rimo.
He jamani ni Limo sio Rimo kha!!!! Walipendeza sana
ReplyDelete