Lango kuu la kuingia kiwandani hapo baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya bia Tanzania,TBL wakiongozwa na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo wakiangalia mandhali ya kiwanda hicho walipokwenda kukitembelea hivi karibuni sehemu ya jengo la kiwanda hicho ambacho ni cha kisasa kabisa. sehemu ya kupakilia bia na kuhifadhia kreti sehemu ya kuegeshea magari.
Halafu ulikua unafunga!, kumbuka ana dhambi, mtengenezaji,mnjwaji, na anaeitangaza pombe
ReplyDelete