HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 12, 2010

Jengo la Ghorofa tatu lawaka moto jijini dar



Jengo likiteketea kwa moto maeneo ya Manzese kwa Bahresa mchana wa leo,huku juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea kutoka kwa kampuni ya Ultimate Security.chanzo cha moto huo inasemekana ni shoti ya umeme iliyotokea katika nguzo ya umeme iliyokuwa jirani na jengo hilo.hakuna aliepoteza maisha wala kudhulika mwili katika tukio hilo.
Gari la kuzima moto la kampuni ya Ultmate Security likijaribu kusogea eneo la tukio ili kunusuru jengo hilo.
wakazi wa maeneo ya jirani na pamoja na waliokuja kushuhudia tukio hilo,wakiwa katika msongamano kwenye njia iliyokuwa inaelekea katika tukio hilo la moto lililotokea leo,manzese kwa bahresa,jijini dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad