HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 12, 2010

grand malt yafanya bonanza la ukweli coco beach leo

TMK Family wakifanya vitu vyao katika bonanza la Grand Malt lililofanyika leo katika fukwe ya cocobeach jijini dar.
Mfalme wa Rymes afande Sele akipagawisha mashabiki waliofurikaleo katika fukwe ya coco beach jijini dar,katika bonanza la Grand Malt.
Wasema chochote (MC's) wa bonanza la Grand Malt wakienda sambamba na mmoja wa vijana waliopanda jukwaani kuonyesha vipavi vyao leo.
mambo ya taarabu yakionyeshwa na vijana wa kike katika bonanza la Grand Malt lililofanyika leo katika fukwe ya coco beach jijini dar.
watu kibao waliohudhulia bonanza la Grand Malt leo katika fukwe ya coco beach.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad