HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 22, 2010

huyu nabii kapotelea wapi siku hizi???

maana katika mitaa yake haonenani kabisa.

2 comments:

  1. NAMKUBALI SANA HUYU JAMAA HUWEZI KUAMINI YANI, DIZ Z MO DAN HIP HOP MZAIYA COZ JAMAA AMEAMUA ASEME KWELI NA NI BORA HUYU JAMA KULIKO WALE WANAOJIFANYA HAWATUMII MWISHO WA SIKU WANAFKUTWA NA KESI ZA KUBAKA MALA UNAKUTANANAO GEST HOUS MALA MITAANI UKIUZA SURA NA MA VOGUE CADILAC MA ESCELADO HIZO ZOTE SI NI PESA ZA SADAKA TU JAMANI HUYU JAMAA MKWELI HAPO NDIPO NILIPO MKUBALI TENA NAOMBA UNISAIDIE KAMA UNAPICHA ZAKE PL NITUMIE KTK MAIL YANGU venancesewa@yahoo.com NITASHUKURU SANA NA HATA UKIPATA NUMBER ZAKE ZA SIMU WE NIRUSHIE NIMKAFUTE TUFANYE NAE MAHOJIANO THEN NAKUAHIDI NTAKUPA FEEDBACK NIKO SERIOUS

    ReplyDelete
  2. Huyo kichaa tuu,nabii wa bwana hawezi kuwa hivyo,anapotosha watu tuu,kama hata tubu kwa mungu basi asubiri adhabu,maana anajua kabisa anavyofanya sio sawa,nawataadharisha wapendwa msimsikilize mkaingia wote motoni

    ReplyDelete

Post Bottom Ad