HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 14, 2010

Dr. Kikwete anguruma Bumbuli

Mgombea Urais kwa tikiti ya CCM,Dr. Jakaya Kikwete akipokelewa kwa shangwe na umati mkubwa wa watu na wapenzi wa CCM wa jimbo la Bumbuli wilani Lushoto Jumatatu jioni katika uwanja wa mkutano wa Togotwe, Bumbuli.
Mgombea ubunge jimbo la Bumbuli, January Makamba
akimwaga sera baada ya kunadiwa na Mgombea urais kwa tiketi ya CCM,Dr. Jakaya Kikwete kwenye mkutano huo
Wana Bumbuli mkutanoni

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad