
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Dk. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na watoto wa Kijiji cha Ligoma baada ya kumaliza mkutano wa kampeni katika kijiji hicho

Wananchi wa Kijiji cha Nakapanya wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Dk. Mohamed Gharib Bilal wakata wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji hicho.
No comments:
Post a Comment