HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 22, 2010

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Moshi Mjini

Muwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Bw. Justine Salakana na mkewe wakimwaga sera zao wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010 Jimboni humo.
Muwania Udiwani wa Kata ya Kilimanjaro,Bw. Priscus Tarimo (kati) akiwa na wadau wake kabla ya kuanza kwa mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Moshi Mjini jana.kulia ni Irene George na kushoto ni Carol Ndossy.
wana CCM wa Moshi mjini wakimshangilia mgombea Ubunge wao.
wengi walijitokeza katika mkutano huo.
kina Mama wakiimba na kucheza kwa furaha.
Muwania Udiwani wa Kata ya Kilimanjaro,,Bw. Priscus Tarimo (mwenye tabasamu zito) akiwa amejichanganya na wanaCCM wengine wa jimbo hilo la Moshi Mjini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad