
Warembo wa Ilala,Temeke na Kinondoni wakiwa na tuzo zao walizopewa na wadhamini wao Redd's katika hafla ya kuwakaribisha warembo woote wataojiunga na kambi ya Miss Tz mwaka huu katika hotel ya Movenpic usiku wa kuamia leo.kulia ni meneja wa kilaji cha Redd's,Kabula Nshimo

Nancy Sumari Na Irene Kiwia ndio waliofanikisha hafla hiyo.

wadau wa TBL wakiwa na kilaji chao cha Redd's.

Wadau wa TBL na Vodacom walipokutana.

Miss Tanzania 2010,Miriam Gerald akishoo love na Meneja wa kilaji cha Redd's,Kabula Nshimo.

Meneja wa kilaji cha Redd's,Kabula Nshimo akimkabidhi tuzo Miss Ilala 2010,Bahati Chande (shoto),anaeangalia katikati ni Miss Temeke 2010,Geneviva Emmanuel

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro,George Kavishe akimpa tuzo Miss Temeke,Geneviva Emmanuel

Meneja Mawasiliano wa TBL,Edith Mushi (kulia) akimpa tuzo Miss Kinondoni 2010,Alice Lushiku katika hafla ya kuwakaribisha warembo wanaojiunga na kambi ya Miss Tz iliyoandalia na TBL kupitia kilaji chake cha Redd's ambao ni wadhamini wa Miss Tz katika hotel ya Movenpic usiku wa kuamkia leo.

Fidel na Rosse

warembo

Mdau George (kati) na washkaji zake.

Ankal George Makoye akimwaga cheche zake

Meneja wa Kilaji cha Redd's,Kabula Nshimo akikaribisha wageni waaliwa waliofika katika hafla hiyo iliyofanyika katika bustani ya hotel ya Movenpic,jijini dar usiku wa kuamkia leo.

MC Jokate Mwegelo akiwajibika.

Ankal Makoye akitoa lisala wa warembo

wadau wa Miss Ilala

toka shoto ni Jackson Kalikumtima (Mratibu Miss Ilala),Miss Tz - Afrika 2005,Nancy Sumari,Miss Kinondoni 2010,Alice Lushiku pamoja na Mratibu wa Miss Kinondoni, Boy George.

Warembo wa TBL

warembo

Warembo wa TMK

Mratibu wa Miss TMK,Ben Kisaka na warembo wake wakimpongeza Meneja wa kilaji cha Redd's,Kabula Nshimo kwa mchango mkubwa wanaoutoa kufanikisha mashindano hayo

Warembo wa Kinondoni

Warembo wa Ilala

Aladji Aladji likisakatwa na warembo woote waliofika katika hafla hiyo.

wadau wa TBL katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment