HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 11, 2010

Ramadhan Kareem

Assalam alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Kwanza kabisa napenda kumshukuru Allah SWT kwa kutuwezesha kuwa hai mpaka siku ya leo na kutujaalia kuuanza mfungo mtukufu wa Mwezi wa Ramadhani hapo siku ya kesho Inshaallah.

Hivyo basi sina budi kuchukua fursa hii kuwatakia waislam wenzangu na pia hata wale wasio waislam kuwa waadilifu katika kipindi hiki cha mfungo mtukufu wa Ramadhan na aweze kutujaalia sisi tulio waislam kuweza kufunga Swaum ya mwezi mzika bila matatizo yoyote Inshaallah.

Wabillah Taufiq,
Wasalaam

Othman

Ramadhan Mubaaraq

NB:kwa wale wanaotaka kutoa salam za mwezi mtukufu wa Ramadhan,hii ni fursa yenu kuitumia blog hii kutoa salam zenu na kuweza kuwafikia walengwa popote pale walio.
naombeni mnitumie kupitia email hii

othmanmichuzi@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad