
Bila hata kusema zaidi, naomba aina yamaisha haya yakumwelekea Mwenyezi Mungu yaendelee hata baada ya mfungo wa Ramadhani
Ramadhani Karimu kwenu Nyote,
1.Anza kwa kuzingatia mwezi huu mtukufu uwe na kuzihesabu, kutenda amali nyingi na kujirekebisha hali yako na uhusiano wako na ALLAH (SWT) uwe bora zaidi.
2.Kumbuka kwamba huu mwezi ni mgeni ambaye amekutembelea kisha ataondoka, hivyo mpokee mgeni wako na mkirimu kwa mazuri yote anayostahiki.
3.Tahadhari na kutokufunga bila ya sababu au udhuru wowote, kwani kufanya hivyo , Swawm yako haitolipika hata ukifunga mwaka mzima.
4.Swali kwa wakati wake, usiache Swalah ikakupita. Najua kuwa ukiwa huswali Ramadhaani huna Swawm kwa mujibu wa fatw za Maulamaa wengi.
5. Soma sana Qur-aan kadri uwezavyo kwani ni mwezi uliyo teremshwa Qur-aan.Kamilisha msahafu mzima japo mara moja,ukishindwa hata nusu yake,robo yake.
kujua zaidi nasiha hizo.
BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment