
Waziri wa Nchi ,ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Mhe. Celina Kom bani (kushoto)na wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi ndugu Betty Mkwasa wakimsikiliza Ofisa mwandamizi wa Karadha ya Fedha ,Benki ya Rasilimali Tanzania ni ndugu Betty Massanja kwenye Maonyesho ya Nanenane Mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa kikundi cha Tupendane kilichoko katika kijiji cha Nala Wilayani Dodoma Bwana Peter Lenjole akimpa maelezo jinsi wanavyolimia Trekta ndogo za kulimia (Power Tiller) Waziri wa nchi ,Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Mhe.Celina Kombani (wan ne kushoto) kwenye Maonyesho ya Nanenane Mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu (TAMISEMI) Mhe. Celina Kombani wa pili kulia akimsikiliza kwa makini Ofisa wa Kilimo (Kilimo na Lishe) bi. Stella Kimambo jinsi mashine iliyopo mbele yao ijulikanayo kama (Cassava Grater)inayosaga Mhogo mbichi na kupata machicha ambayo unaanika nakusaga tayari kwa unga au unaukamua tayari kuwa wanga na ukautmia kama dawa ,na ukatumika kwa kutengenezea chapatti ,kwenye maonyesho ya nanenane Mkoani Dodoma.

Nyumba za bei nafuu na za kisasa zilizojengwa na Kampuni ya Space Creation zilizoko kwenye maonyesho ya Nanenane Dodoma.
(Picha zote na Anna Itenda - Dodoma)
katika nyumba hizo nazo nyumba nenda zako huko bana aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa unatuzingua tu kesho twende zetu mzalendo tukale pombe ama siyo
ReplyDelete