Leo mtoto Rowena Nourdine anatimiza miaka 2 taslim toka kuzaliwa kwake,hivyo anayo furaha kubwa sana kuisherehekea sikukuu hiyo akiwa pamoja na baba na mama yake huko home kwani.hivyo kwa niaba ya wadau woote wa Blog hii napenda kumpongeza mtoto huyu kwa kutimiza umri wake huo.
Happy Birthday Rowena.
No comments:
Post a Comment