
leo katika pita pita zangu huko mitaani kusaka ya kusaka,nilibahatika kukutana na mmoja wa wadau wakuu wa blog yetu hii nae si mwingine bali ni mdau Ally Nassoro a.k.a Mack Fish ambaye alikuwa akiendeleza libeneke huko huko Toronto,Canada ila kwa sasa amerejea bongo kwa kuendeleza libeneke.anawapa hi sana wadau wa blog hii na anasema yuko pamoja nanyi katika libeneke hili.
No comments:
Post a Comment