Katika Kutanua wingo wa Burudani jijini wiki hii,Ijumaa 06/08/2010 Fleva Nite itatoa burudani ndani yaManispaa ya Temeke katika ukumbi wa TCC Club- Chang'ombe kuanzia saa mbili usiku (8pm) mpaka majogoo.Karibuni wote.
No comments:
Post a Comment