HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 23, 2010

KUMBUKUMBU


Familia ya Halima S. Kaubanika ya Ilala Dar es salaam, wanakumbuka kifo cha baba yao Mzazi Mzee Suleiman M. Kaubanika kilichotokea 24/8/2009 Kigogo Dar es salaam.

Sasa ni mwaka mmoja tangu ututoke.unakumbukwa na wake zako, watoto,marafiki zako na majirani hasa kwa ucheshi na mawazo uliokuwa nao.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
- Amin

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad