hivi ni kwanini hawa jamaa wanaochimba haya mashimozz mabarabarani kwa kufanya shughuli zao,mbona wakimaliza hawayafukii???maana hili shimo linapata mwezi sasa liko hivi hivi na hakuna anaeongea lolote.
No comments:
Post a Comment