HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 24, 2010

Vodacom Miss Exellence Open Unirversity of Tanzania 2010 ni Christin Justin

Mshindi wa shindano la Vodacom Miss Exellence Open Unirversity of Tanzania 2010 Christin Justin (kati) akiwa na washindi wengine kwenye shindano hilo usiku wa kuamkia leo kwenye kampas ya chuo hicho eneo la Biafra Kinondoni. Kushoto kwake ni mshindi wa tatu Jaquiline Mwombeki na kulia kwake ni mshindi wa pili Glory Mushi.
Tano bora ya Vodacom Miss Exellence OUT 2010
Washiriki 11 waliochauna

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad