
Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL) Cleopa David Msuya (katikati) akifafanua jambo kwa wajumbe wa  mkutano mkuu wa wanahisa Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa  TBL, Robin Goet szche na kushoto ni Mwanasheria wa TBL Huruma Ntalena.

Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetszche akifafanua jambo wakati wa  mkutano wa Wanahisa wa Kampuni ya Bia TBL Dar es Salaam leo. Kushoto ni  Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TBL Cleopa David Msuya na  Kulia ni Mzee Anorld Kilewo.

Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goet szche akionesha chupa ya maji ambayo  huzalishwa na Kampuni ya Bia nchini TBL. Ikiwa ni moja ya bidhaa mpya za  kampuni hiyo. Kushoto ni Katikati ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti  wa Bodi ya TBL Cleopa David Msuya.

Mmoja wa wanahisa wa TBL akiuliza swali wakati wa mkutano mkuu wa Wanahisa wa TBL Dar es Salaam leo.
 
No comments:
Post a Comment