HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 27, 2010

KUMBUKUMBU

MAREHEMU MAMA SIMFOROSA J. TENGA ENZI ZA UHAI WAKE.

ILIKUWA SIKU MIEZI NA HATIMAE LEO TAREHE 27/07/2010 NI MIAKA MITATU TANGU MAMA YETU KIPENZI UMETUTOKA,MAJONZI MENGI UMETUACHIA ILA KWASABABU HAYO YOTE NI MAPENZI YA MUNGU HATUNA BUDI KUMSHUKURU KWA KILA JAMBO, MAMA PAMOJA NA KWAMBA HAUPO NASI KIMWILI ILA UPENDO WAKO, MALEZI BORA,KUJITOLEA KWA LOLOTE JUU YA FAMILIA YAKO TUTAVIENZI NA KUHAKIKISHA TUNAVIRITHISHA KWA FAMILIA ZETU.

MAMA TUKUKUMBUSHE TU BAADA YA WEWE KUTUACHA HAUKUPITA MUDA NAE BABA ALIKUFUATA BAADA YA MIAKA MIWILI,WOTE KWA PAMOJA MLITUACHA KWENYE MATAA TUKABAKIA TUKIHAHA, NAUCHUNGU,UPWEKE,TUKABAKIA YATIMA!!!MAMA HATUTACHOKA KUKUOMBEA.

MSALIMIE BABA MWAMBIE PAMOJA NA KWAMBA HATUPO NANYI KIMWILI ILA KAMWE HATUTOUSAHAU UPENDO MLIOKUWA NAO KWETU.MNAKUMBUKWA NA WATOTO WENU;

MR& MRS PROSPER J. TENGA (SEKAO)
ANTONIA J. TENGA
VENERANDA J. TENGA
CRESSILDER J. TENGA
FLORAH J. TENGA
MATILDER J. TENGA
MR & MRS GREGORY J. TENGA
MR & MRS GEOFREY J. TENGA
CALIST J. TENGA
WAJUKUU NA VITUKUUU WANAWAKUMBUKA.

WOTE KWA PAMOJA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI,MAJIRANI WANAKUOMBEENI ROHO ZENU ZIPATE REHEMA KWA MUNGU NA PUMZIKO LA MILELE LIWAANGAZIE.AMINA!!

BWANA ALITOA BWANA ALITWAA, JINA LA BWANA LIHIDIMIWE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad