abiria hawa nimewakuta pale katika kituo cha daladala cha Jangwani wakisubiria usafiri kwa staili yao ambayo waliibuni wenyewe.sasa sijui hao waendesha hayo magari watawaonaje??
we othman ina maana hujui hao shughuli yao nini, hapo hakuna abiria hata mmoja wote hao vibaki wamekaa kwa staili ya kupiga chabo vizuri kujua abiria yupo wamchomolee mwenye si unaona daladala kama hilo ni kubwa uwezo wa kuchunguli hadi hawana na hurahisi wao ni huo kupanga juu ili waone mtu gani amekaa kia hasara harasa, we vipi bwana unaogopa kusema ukweli ili wasije kukuliza kikamera chako kinachokuwe mjini nini.

ReplyDelete